Kocha Boniface mkwasa
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake
Kikosi cha Twiga Stars kinashuka dimbani leo katika uwanja wa Taifa jijini Dares Salaaam kupambana dhidi ya Ethiopia katika mashindano ya kusaka nafasi ya kushiriki Kombe la Africa kwa wanawake.
Mchezo huo ni marudiano baada wa awali kumalizika
kwa Twiga stars kufungwa magoli matatu kwa moja,ili waweze kuendelea inabidi washinde angalau goli moja .
No comments:
Post a Comment