Waziri wa Maliasili na Utallii mwenye shuti nyeusi :Balozi Khamis Kagasheki akipeana mkono na Balozi wa Uingereza nchini,Bi Dianne corner baada ya kumkabidhi faru weusi watatu.Faru hao weusi watatu watapelekwa katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ikiwa jitahada ya serikali kuongeza idadi ya wanyama hao adimu nchini Tanzania,
Hii si mara ya kwanza kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kuleta faru weusi nchini,kwa mara ya kwanza faru walitoka nchini Afrika Kusini lakini baada ya muda mfupi faru hao waliopata umaarufu waliuawa na majingili.Kwa mantiki hiyo Wizara ya Maliasili na Utalii inabidi iwe macho kwa kuwakea ulinzi ili wasiuawe na majangili.
No comments:
Post a Comment