Vita vya MajimajiSongea.Hii iliwekwa na kuzinduliwa na
wa kwanza wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Hayati Baba
Mwalimu Julius K Nyerere.Makumbusho hii ipo Songea
mjini karibu na idara ya maji na Tanesco,njoo ujione babu
zetu walivyopigania uhuru wa Tanzania.Makumbusho zipo kwa
ajili ya watanzania sio kwa wageni
No comments:
Post a Comment