Mbunge Joshua Nassari akisalimia wananchi
Kutokana na mwamko wa wananchi wengi katika masuala ya siasa,chama cha
Demokrasia na Maendeleo (chadema) kinajiandaa kuchukua nchi mwaka 2015.
Hii inatokana na wananchi kuchoshwa kusikiliza sera za uongo kutoka CCM
No comments:
Post a Comment